1 Tim. 3:16 SUV

16 Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu.Mungu alidhihirishwa katika mwili,Akajulika kuwa na haki katika roho,Akaonekana na malaika,Akahubiriwa katika mataifa,Akaaminiwa katika ulimwengu,Akachukuliwa juu katika utukufu.

Kusoma sura kamili 1 Tim. 3

Mtazamo 1 Tim. 3:16 katika mazingira