1 Tim. 5:10 SUV

10 naye ameshuhudiwa kwa matendo mema; ikiwa amelea watoto, ikiwa amekaribisha wageni, ikiwa amewaosha watakatifu miguu, ikiwa amewasaidia wateswao, ikiwa amefuata kwa bidii kila tendo jema.

Kusoma sura kamili 1 Tim. 5

Mtazamo 1 Tim. 5:10 katika mazingira