1 Tim. 5:13 SUV

13 Tena, pamoja na hayo, hujifunza kuwa wavivu, wakizunguka-zunguka nyumba kwa nyumba; wala si wavivu tu, lakini ni wachongezi na wadadisi, wakinena maneno yasiyowapasa.

Kusoma sura kamili 1 Tim. 5

Mtazamo 1 Tim. 5:13 katika mazingira