1 Tim. 5:16 SUV

16 Mwanamke aaminiye, akiwa ana wajane, na awasaidie mwenyewe, Kanisa lisilemewe; ili liwasaidie wale walio wajane kweli kweli.

Kusoma sura kamili 1 Tim. 5

Mtazamo 1 Tim. 5:16 katika mazingira