1 Tim. 5:8 SUV

8 Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.

Kusoma sura kamili 1 Tim. 5

Mtazamo 1 Tim. 5:8 katika mazingira