1 Tim. 6:10 SUV

10 Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi.

Kusoma sura kamili 1 Tim. 6

Mtazamo 1 Tim. 6:10 katika mazingira