1 Yoh. 2:11 SUV

11 Bali yeye amchukiaye ndugu yake, yu katika giza, tena anakwenda katika giza, wala hajui aendako, kwa sababu giza imempofusha macho.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 2

Mtazamo 1 Yoh. 2:11 katika mazingira