1 Yoh. 2:13 SUV

13 Nawaandikia ninyi, akina baba, kwa sababu mmemjua yeye aliye tangu mwanzo. Nawaandikia ninyi, vijana, kwa sababu mmemshinda yule mwovu. Nimewaandikia ninyi, watoto, kwa sababu mmemjua Baba.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 2

Mtazamo 1 Yoh. 2:13 katika mazingira