1 Yoh. 2:24 SUV

24 Ninyi basi, hilo mlilolisikia tangu mwanzo na likae ndani yenu. Ikiwa hilo mlilolisikia tangu mwanzo linakaa ndani yenu, ninyi nanyi mtakaa ndani ya Mwana, na ndani ya Baba.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 2

Mtazamo 1 Yoh. 2:24 katika mazingira