1 Yoh. 2:28 SUV

28 Na sasa, watoto wadogo, kaeni ndani yake, ili kusudi, atakapofunuliwa, mwe na ujasiri, wala msiaibike mbele zake katika kuja kwake.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 2

Mtazamo 1 Yoh. 2:28 katika mazingira