1 Yoh. 3:1 SUV

1 Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 3

Mtazamo 1 Yoh. 3:1 katika mazingira