1 Yoh. 3:10 SUV

10 Katika hili watoto wa Mungu ni dhahiri, na watoto wa Ibilisi nao. Mtu ye yote asiyetenda haki hatokani na Mungu, wala yeye asiyempenda ndugu yake.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 3

Mtazamo 1 Yoh. 3:10 katika mazingira