1 Yoh. 3:17 SUV

17 Lakini mtu akiwa na riziki ya dunia, kisha akamwona ndugu yake ni mhitaji, akamzuilia huruma zake, je! Upendo wa Mungu wakaaje ndani yake huyo?

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 3

Mtazamo 1 Yoh. 3:17 katika mazingira