1 Yoh. 4:16 SUV

16 Nasi tumelifahamu pendo alilo nalo Mungu kwetu sisi, na kuliamini. Mungu ni upendo, naye akaaye katika pendo, hukaa ndani ya Mungu, na Mungu hukaa ndani yake.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 4

Mtazamo 1 Yoh. 4:16 katika mazingira