1 Yoh. 5:1 SUV

1 Kila mtu aaminiye kwamba Yesu ni Kristo amezaliwa na Mungu. Na kila mtu ampendaye mwenye kuzaa, ampenda hata yeye aliyezaliwa na yeye.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 5

Mtazamo 1 Yoh. 5:1 katika mazingira