1 Yoh. 5:10 SUV

10 Yeye amwaminiye Mwana wa Mungu anao huo ushuhuda ndani yake. Asiyemwamini Mungu amemfanya kuwa mwongo, kwa kuwa hakuuamini huo ushuhuda ambao Mungu amemshuhudia Mwanawe.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 5

Mtazamo 1 Yoh. 5:10 katika mazingira