1 Yoh. 5:20 SUV

20 Nasi twajua kwamba Mwana wa Mungu amekwisha kuja, naye ametupa akili kwamba tumjue yeye aliye wa kweli, nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli, yaani, ndani ya Mwana wake Yesu Kristo. Huyu ndiye Mungu wa kweli, na uzima wa milele.

Kusoma sura kamili 1 Yoh. 5

Mtazamo 1 Yoh. 5:20 katika mazingira