2 Kor. 1:9 SUV

9 Naam, sisi wenyewe tulikuwa na hukumu ya mauti katika nafsi zetu ili tusijitumainie nafsi zetu, bali tumtumaini Mungu, awafufuaye wafu,

Kusoma sura kamili 2 Kor. 1

Mtazamo 2 Kor. 1:9 katika mazingira