16 hata kuihubiri Injili katika nchi zilizo mbele kupita nchi zenu; tusijisifu katika kipimo cha mtu mwingine kwa mambo yaliyokwisha kutengenezwa.
Kusoma sura kamili 2 Kor. 10
Mtazamo 2 Kor. 10:16 katika mazingira