2 Kor. 11:13 SUV

13 Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 11

Mtazamo 2 Kor. 11:13 katika mazingira