2 Kor. 11:23 SUV

23 Wao ni wahudumu wa Kristo? (Nanena kiwazimu), mimi ni zaidi; katika taabu kuzidi sana; katika vifungo kuzidi sana; katika mapigo kupita kiasi; katika mauti mara nyingi.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 11

Mtazamo 2 Kor. 11:23 katika mazingira