2 Kor. 11:26 SUV

26 katika kusafiri mara nyingi; hatari za mito; hatari za wanyang’anyi; hatari kwa taifa langu; hatari kwa mataifa mengine; hatari za mjini; hatari za jangwani; hatari za baharini; hatari kwa ndugu za uongo;

Kusoma sura kamili 2 Kor. 11

Mtazamo 2 Kor. 11:26 katika mazingira