2 Kor. 12:18 SUV

18 Nalimwonya Tito, nikamtuma ndugu yule pamoja naye. Je! Tito aliwatoza kitu? Je! Hatukuenenda kwa Roho yeye yule na katika nyayo zile zile?

Kusoma sura kamili 2 Kor. 12

Mtazamo 2 Kor. 12:18 katika mazingira