2 Kor. 12:2 SUV

2 Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 12

Mtazamo 2 Kor. 12:2 katika mazingira