2 Kor. 12:20 SUV

20 Maana nachelea, nisije nikawakuta si kama vile nitakavyo kuwakuta, nikaonekana kwenu si kama vile mtakavyo; nisije nikakuta labda fitina na wivu, na ghadhabu, na ugomvi, na masingizio, na manong’onezo, na majivuno, na ghasia;

Kusoma sura kamili 2 Kor. 12

Mtazamo 2 Kor. 12:20 katika mazingira