2 Kor. 13:10 SUV

10 Kwa sababu hiyo, naandika haya nisipokuwapo, ili, nikiwapo, nisiutumie ukali kwa kadiri ya uwezo ule niliopewa na Bwana, kwa kujenga wala si kwa kubomoa.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 13

Mtazamo 2 Kor. 13:10 katika mazingira