2 Kor. 13:4 SUV

4 Maana, alisulibiwa katika udhaifu, lakini anaishi kwa nguvu za Mungu. Maana sisi nasi tu dhaifu katika yeye; lakini tutaishi pamoja naye kwa uweza wa Mungu ulio kwenu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 13

Mtazamo 2 Kor. 13:4 katika mazingira