7 Nasi twamwomba Mungu, msifanye lo lote lililo baya; si kwamba sisi tuonekane tumekubaliwa, lakini ninyi mfanye lile lililo jema, tujapokuwa sisi tu kama waliokataliwa.
Kusoma sura kamili 2 Kor. 13
Mtazamo 2 Kor. 13:7 katika mazingira