2 Kor. 2:14 SUV

14 Ila Mungu ashukuriwe, anayetushangiliza daima katika Kristo, na kuidhihirisha harufu ya kumjua yeye kila mahali kwa kazi yetu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 2

Mtazamo 2 Kor. 2:14 katika mazingira