2 Kor. 2:17 SUV

17 Kwa maana sisi si kama walio wengi, walighoshio neno la Mungu; bali kama kwa weupe wa moyo, kama kutoka kwa Mungu, mbele za Mungu, twanena katika Kristo.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 2

Mtazamo 2 Kor. 2:17 katika mazingira