2 Kor. 2:4 SUV

4 Maana katika dhiki nyingi na taabu ya moyo niliwaandikia na machozi mengi; si kwamba mhuzunishwe, bali mpate kujua upendo wangu nilio nao kwenu jinsi ulivyo mwingi.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 2

Mtazamo 2 Kor. 2:4 katika mazingira