2 Kor. 3:11 SUV

11 Kwa maana, ikiwa ile inayobatilika ilikuwa na utukufu, zaidi sana ile ikaayo ina utukufu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 3

Mtazamo 2 Kor. 3:11 katika mazingira