2 Kor. 3:3 SUV

3 mnadhihirishwa kwamba mmekuwa barua ya Kristo tuliyoikatibu, iliyoandikwa si kwa wino, bali kwa Roho wa Mungu aliye hai; si katika vibao vya mawe, ila katika vibao ambavyo ni mioyo ya nyama.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 3

Mtazamo 2 Kor. 3:3 katika mazingira