2 Kor. 3:7 SUV

7 Basi, ikiwa huduma ya mauti, iliyoandikwa na kuchorwa katika mawe, ilikuja katika utukufu, hata Waisraeli hawakuweza kuukazia macho uso wa Musa, kwa sababu ya utukufu wa uso wake; nao ni utukufu uliokuwa ukibatilika;

Kusoma sura kamili 2 Kor. 3

Mtazamo 2 Kor. 3:7 katika mazingira