2 Kor. 4:11 SUV

11 Kwa maana sisi tulio hai, siku zote twatolewa tufe kwa ajili ya Yesu, ili uzima wa Yesu nao udhihirishwe katika miili yetu ipatikanayo na mauti.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 4

Mtazamo 2 Kor. 4:11 katika mazingira