2 Kor. 4:15 SUV

15 Kwa maana mambo yote ni kwa ajili yenu, ili neema hiyo ikiongezwa sana, kwa hao walio wengi shukrani izidishwe, na Mungu atukuzwe.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 4

Mtazamo 2 Kor. 4:15 katika mazingira