2 Kor. 4:2 SUV

2 lakini tumekataa mambo ya aibu yaliyositirika, wala hatuenendi kwa hila, wala kulichanganya neno la Mungu na uongo; bali kwa kuidhihirisha iliyo kweli twajionyesha kuwa na haki, dhamiri za watu zikitushuhudia mbele za Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 4

Mtazamo 2 Kor. 4:2 katika mazingira