2 Kor. 4:6 SUV

6 Kwa kuwa Mungu, aliyesema, Nuru itang’aa toka gizani, ndiye aliyeng’aa mioyoni mwetu, atupe nuru ya elimu ya utukufu wa Mungu katika uso wa Yesu Kristo.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 4

Mtazamo 2 Kor. 4:6 katika mazingira