2 Kor. 5:1 SUV

1 Kwa maana twajua ya kuwa nyumba ya maskani yetu iliyo ya dunia hii ikiharibiwa, tunalo jengo litokalo kwa Mungu, nyumba isiyofanywa kwa mikono, iliyo ya milele mbinguni.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 5

Mtazamo 2 Kor. 5:1 katika mazingira