2 Kor. 5:16 SUV

16 Hata imekuwa, sisi tangu sasa hatumjui mtu awaye yote kwa jinsi ya mwili. Ingawa sisi tumemtambua Kristo kwa jinsi ya mwili, lakini sasa hatumtambui hivi tena.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 5

Mtazamo 2 Kor. 5:16 katika mazingira