2 Kor. 5:19 SUV

19 yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 5

Mtazamo 2 Kor. 5:19 katika mazingira