4 Kwa sababu sisi tulio katika maskani hii twaugua, tukilemewa; si kwamba twataka kuvuliwa, bali kuvikwa, ili kitu kile kipatikanacho na mauti kimezwe na uzima.
Kusoma sura kamili 2 Kor. 5
Mtazamo 2 Kor. 5:4 katika mazingira