2 Kor. 6:14 SUV

14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?

Kusoma sura kamili 2 Kor. 6

Mtazamo 2 Kor. 6:14 katika mazingira