2 Kor. 7:1 SUV

1 Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 7

Mtazamo 2 Kor. 7:1 katika mazingira