2 Kor. 7:12 SUV

12 Basi, ijapokuwa naliwaandikia, sikuandika kwa ajili yake yeye aliyedhulumu, wala si kwa ajili yake yeye aliyedhulumiwa, bali bidii yenu kwa ajili yetu ipate kudhihirishwa kwenu mbele za Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 7

Mtazamo 2 Kor. 7:12 katika mazingira