3 Sisemi neno hilo ili niwahukumu ninyi kuwa na hatia; kwa maana nimetangulia kusema, ya kwamba ninyi mmo mioyoni mwetu hata kwa kufa pamoja, na kuishi pamoja.
Kusoma sura kamili 2 Kor. 7
Mtazamo 2 Kor. 7:3 katika mazingira