2 Kor. 7:7 SUV

7 Wala si kwa kuja kwake tu, bali kwa zile faraja nazo alizofarijiwa kwenu, akituarifu habari ya shauku yenu, na maombolezo yenu, na bidii yenu kwa ajili yangu, hata nikazidi kufurahi.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 7

Mtazamo 2 Kor. 7:7 katika mazingira