2 Kor. 8:11 SUV

11 Lakini sasa timizeni kule kutenda nako, ili kama vile mlivyokuwa tayari kutaka, vivyo hivyo mkawe tayari na kutimiza, kwa kadiri ya mlivyo navyo.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 8

Mtazamo 2 Kor. 8:11 katika mazingira