2 Kor. 8:14 SUV

14 bali mambo yawe sawasawa; wakati huu wa sasa wingi wenu uwafae upungufu wao, ili na wingi wao uwafae ninyi mtakapopungukiwa; ili mambo yawe sawasawa.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 8

Mtazamo 2 Kor. 8:14 katika mazingira