2 Kor. 8:7 SUV

7 Lakini kama mlivyo na wingi wa mambo yote; imani, na usemi, na elimu, na bidii yote, na upendo wenu kwetu sisi; basi vivyo hivyo mpate wingi wa neema hii pia.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 8

Mtazamo 2 Kor. 8:7 katika mazingira